Kiswahili Swahili
Information on COVID-19 (coronavirus) to keep you and your community safe.
Tusaidie kuzuia kuenea
- Safisha kabisa mikono yako kwa angalau sekondi 20 utumie sabuni na maji, au dawa yenye alkoholi ya mikono.
- Funika pua na mdomo wako wakati unapokohoa na kupiga chafya kutumia tishu au kiwiko kilichokunjwa. Weka tishu katika chombo cha takataka.
- Epuka kukaribiana na yeyote ambaye ana dalili zinazofanana na mafua pamoja na homa ya mafua.
- Kaa nyumbani ikiwa wewe ni mgonjwa